Privacy Policy

DR MLELWA OFFICIAL

Hii tovuti ni maalumu kwa uuzaji na ununuaji wa ujuzi au elimu tu na sio vinginevyo, watumiaji wote wa hii website
tunaomba mfahamu mambo haya wakati unatumia au kabla haujaanza kutumia tovuti yetu.

KWA WATOA UJUZI AU WAALIMU ZINGATIA :-

============================== ZINGATIA MAKATO NI 30% INACHUKUA KAMPUNI NA 70% UNACHUKUA MWALIMU ====================================

1. Mwalimu au mfundisha ujuzi hakikisha unafundisha ujuzi kwa uhakika,(kipindi kitakacho onekana kinamapungufu tutakiondoa).
2. Maudhui yoyote ambayo yataonekana na kuripotiwa na kosa la kushawishi zinaa, unywaji wa pombe au vurugu yatafutwa mara moja 
   na kampuni haitakuwa na maelezo ya ziada kwa mtoa maudhui huyo.
3. MAudhui yoyote yanayo fundisha jinsi ya Kuzini, ushoga au Kujizini(punyeto/ musterburtion) hayaruhusiwi na yakionekana yatafutwa 
   mara moja na kampuni haitakuwa na maelezo ya ziada ya kumpa mtoa maudhui hayo.
4. Vipindi vyote lazima viwe vina ubora unaosomeka au kuonekana vizuri, kipindi kisichofikia ubora kampuni itamtaka mwalimu au mtoa
   maudhui hayo ayabadili na kuongeza ubora zaidi.
5. Mwalimu au mtoa maudhui atatakiwa kuomba malipo yake kutoka kwetu yanayo onekana kwenye system tu, endapo yatafikia kuanzia Tsh elfu 10,
   na sio chini ya hapo mwalimu atatakiwa kusubiri ununuzi ufanyike ili kiasi hicho kifike.
6. Jukumu la kutangaza vipindi ni la mwalimu na endapo mwalimu ata taka sisi tumtangazie vipindi atatakiwa kulipia Tsh elfu 20 kwa mwezi
   sisi tutaweka tangazo la vipindi vyeke kwenye channel, account na page zetu ili wanafunzi waweze kununua vipindi husika.
7. Kwa maelezo zaidi mwalimu endapo mwalimu anayataka atatakiwa kupiga simu kwa namba zetu :-
   Dr mlelwa official: 0745965125 au 0714483548 
   Eng Anold amri :0693662424  
8. Mwalimu hatakiwi kupokea ela yoyote au malipo yoyote kutoka kwa mwanafunzi kufanya hivyo ni kwenda kinyume na utaratibu wa kampuni na 
   akipatikana atakuwa anapoteza sifa za kuwa mwalimu au kufungiwa ufundishaji na kampuni itabaki na vipindi vyake kwani kufanya hivyo ni
   kuibia kampuni na kuingiza hasara za uendeshaji wa kampuni.

========================================MWANAFUNZI======================================================

1. MALIPO YOTE YANALIPWA KWENYE NAMBA ZA KAMPUNI ZILIZO KWENYE PAGE YETU YA MALIPO, HURUHUSIWI KILIPA SEHEMU NYINGIE YOYOTE
2. Tunza na hakikisha unakumbuka taarifa zako (email/password) hakikisha zisipotee au kuibiwa namtu mwingine kwa ajili ya usalama wa 
   akaunti yako.
3. Hakikisha unasoma na kumaliza vipindi husika na kufanya mazoezi ambayo mwalimu atakuwa ameyatoa
4. Kama utakuwa na swali au tatizo lolote lile juu ya tovuti yetu unaweza ukatembelea youtube channel zetu moja kati ya hizi
   DR MLELWA LECTURES au WE TECHNOLOGY.
5. Kwa maelezo zaidi ukikwama tupigie kwa namba za simu :- 
Dr mlelwa official: 0745965125 au 0714483548
Eng Anold amri :0693662424
6. Tumia sehemu au menu au kitufe cha message kuwasiliana na watu au waalimu katika website yetu endapo hauna namba zao za simu.