Refund Policy
Dr Mlelwa Official
Hii ni sela yetu katika kurudisha pesa iliyotumwa katika website yetu au ofisi zatu.
1. MALIPO YOTE YANATAKIWA YALIPWE KWATU NA SIO VINGINEVYO, IKITOKEA MWANAFUNZI AU MNUNUA UJUZI ATALIPA KWA
MTU MWINGINE NJEE NA NAMBA ZA SIMU NA NAMBA ZA BENKI ZA KAMPUNI BASI SISI HATUTAHUSIKA KABISA NA HILO TATIZO.
2. MALIPO YOTE YATATAKIWA KILIPWA KWENYE NAMBA HIZI CHINI TU NA SIO KWINGINEKO, UKITAPELIWA SISI HATUTA HUSIKA.
=======Baada ya kulipa tutumie lisiti Namba/ picha ya risiti/ screen shot ya risiti au kielelezo chochote cha kuonyesha kwamba umelipa==
********VITU HIVI UTAVITUMA KWENYE SEHEMU YA OFFLINE PAYMENT WAKATI WA KUFANYA MALIPO***********
1.MALIPO YA VIPINDI NJE YA MASOMO LIPA KWA NAMBA
0693662424, Airtel, Jina linakuja Mariam Yefta Ndwilo
NMB BANK : 21910008360, Jina ANORD AMRI MWINUKA
2.MALIPO YA VIPINDI VYA WANAFUNZI WA SEKONDARI
0693662424, Airtel, Jina linakuja Mariam Yefta Ndwilo
NMB BANK : 21910008360, Jina ANORD AMRI MWINUKA
MALALAMIKO YOTE YA PESA YATOLEWE NDANI YA NUSU SAA NA SI ZAIDI YA HAPO
2. Ikiwa mwanafunzi au mnunua ujuzi atapilipia kipindi ambacho hakutaka na akawa amelipa ela
tayari atatakiwa kupiga simu kutuma SMS au kutuma ujumbe kwa njia ya website kwenye kipengele au menyu
ya meseji.
MALALAMIKO YOTE YANAYOZIDI KIPINDI CHA SAA MOJA YATATEKELEZWA KWA KIPIMO CHA OFISI KUKAA NA SIO KWA SHERIA HIZI.
==>Katika ela iliyotumwa Dr Mlelwa tutakata 30% endapo mtu anataka arudishiwe ela yake yote.
==>Katika ela iliyo tumwa Dr Mlelwa hatutakata (0%) kiasi chochote endapo mwanafunzi atataka kubadili
kipindi kwa kipindi kingine chenye bei sawa na kile cha mara ya kwanza.
==>Endapo mwanafunzi atataka kubadili kipindi kwa kipindi kingine chenye bei kubwa kuliko kile alicho
lipia yeye mara ya kwana basi mwanafunzi huyo atatakiwa kulipia kiasi cha feza kilicho baki ili
kufikia bei ya kipindi husika.
==>Endapo mwanafunzi atakuwa amelipa kipindi na akawa amekosea kipindi akalipia kipindi cha bei kubwa na akawa anataka
kubadili na kipindi chenye bei ndogo atabadilishiwa na kurudishiwa ela iliyobaki kwa kukatwa 15% au akaiacha kwetu na kuja
kuongezea kiasi kingine kwa ajili ya topic au kipindi kingine.
3.MALALAMIKO YOYOTE AMBAYO YATAZIDI SIKU MOJA HATUTAYAPA UZITO NA YANAWEZA YASITEKELEZWE AU KUSHUGHULIKIWA NA OFISI ZETU
Write a public review