Published - Tue, 04 Oct 2022

MASOMO YA PRE FORM ONE

MASOMO YA PRE FORM ONE

WAALIMU NA WAFANYAKAZI WOTE WA DR MLELWA TUNAPENDWA KUWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAMEMALIZA DARASA LA SABA MASOMO YA PRE FORM 1


Kwa mwaka wa masomo 2023, wanafunzi wanatakiwa kujiunga na masomo ya sekondari ya form 1, hivyo sisi kama Dr mlelwa tuichukua hii dhamana ya kuwaandaa hawa wanafunzi ili kwenda kukabiliana na mazingira mapya lakini pia jinsi ya kuweza kusoma vizuri na kufaulu.

Waalimu wetu wamejipanga na tuna uzoefu wa kufundisha tangu 2022, hivyo mwanao au wewe mwanafunzi ukisoma kupitia jukwaa hili utakuwa umeingia kwenye list ya wanafunzi bora Tz, wanafunzi wote tunao wafundisha hawajawai kufeli  iwe form 4 au form 6.

chagua sasa kusoma nasi kwa matokeo bora na uelewa sahihi.

BONYEZA HAPA KUTEMBELEA WEBSITE YETU

Created by

Eng Anold Mwinuka

Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha MUST (Mbeya University Of Science And Technology), Ninasoma kozi ya Computer Engineering ngazi ya Degree. Mimi pia ni mbunifu wa mifumo ya kitehema kama vile www.drmlelwa.co.tz | www.webusiness.co.tz | www.sokoni.shop pia ipo mifumo ya hardware kama vile we-receiver, we-mixer na alama ya damu automation system na yote hii inafanya kazi na kutumiwa na watu. MOSTLY I LOVE GOD AND THE GOSPLE OF GOD

Safari yangu ya kielimu ilianza katika shule ya Msingi ya Ikulu iliyopo Ilomba jijini Mbeya, nilipomaliza nikaingia secondary katika shule ya Sekondari Pandahill Sec(2022 -2016), nikamalizia elimu yangu ya sekondari shule ya Jifunzeni sec iliyopo Hitua Mbeya(2017).

 2018 nikaokoka(kanisa la KIKOSI KAZI CHA INJILI) na baada ya hapo nikaenda Morogoro na huu ndio ulikuwa mwanzo wa mabadiloko katika maisha yangu baada tu ya kuokoka nikapata akili kubwa mno sijawai ipata. 2020 nikiwa Kwiro Boys - PCM nikamaliza.

2020 Tukaanza kufundisha mimi na kaka yangu kupitia youtube BURE kabisa kama tulivyofundishwa ibadani. 2021 tulianza kuwatoza watu gharama kidogo ili tusilemewe.

Pia 2020 december nikaingia Must nikakutana watu wengine ujuzi nilionao ukaongezeka zaidi na 2022 nikaja na wazo hili la kutatua changamoto za kupata na kuuza ujuzi kwa njia ya Mtandao. 

Dr Mlelwa  litakuwa suruhisho la changamoto nyingi sana Tanzania kama watu watataka kuvuka katika changam,oto hizo.

Mungu awabariki wote

View profile

Comments (0)