Created by - Eng Anold Mwinuka
Call for ApplicationThe Ministry of Education, Science and Technology is pleased to announce that the Ministry of Higher Education and Scientific Research of the Arab Republic of Egypt is offering undergraduate and postgraduate scholarships at the top Egyptian Universities for suitable Tanzanian students in various domains for the academic year 2022/2023.EligibilityTo be eligible for admission, applicants must fulfill the following conditions:Have a high school certificate or its equivalent.Have relevant academic certificates.Have a good command of the English language and working knowledge of computers.Be physically fit and have a record of good conduct and honorable behaviour.List of required documentsA copy of high school certificate or its equivalent certified by the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation.A copy of a valid passport.7 recent personal passport size photos.A copy of birth certificate.Certificates and supporting documents must be certified by relevant authorities.Completed Application Forms (herein attached).Have an official medical certificate that states that the candidate is free of any infectious disease (HIV, HEPATITIS C and COVID-19).An acknowledgment letter from relevant authorities stating that the degree in which the candidate holds is eligible for enrollment at local universities.Mode of application and submission Complete the online application on the official portal: https://admission.study-in-egypt.gov.eg Details and information regarding all the terms and conditions as well as all requirements needed for the said scholarships can also be found on the website above.For further information concerning the scholarship or the application process applicants can email the Central Administration for International Students Affairs at: info@study-egypt.gov.egThe deadline for applications is on 30th September, 2022.Nota Bene:The Government of the United Republic of Tanzania will not provide a loan or grant for candidates who will be offered this scholarship. Issued by:Permanent Secretary,Ministry of Education, Science and Technology,Government City,Mtumba Area,Afya Street,P. O. Box 10,40479 DODOMA.
More detailsPublished - Fri, 16 Sep 2022
Created by - Eng Anold Mwinuka
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza kufuta ada ya mtihani kwa watahiniwa wa darasa la saba, kidato cha nne na sita wa shule za Serikali, huku wanafunzi wa shule binafsi watakuwa wanaendelea kulipa.Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji.
More detailsPublished - Fri, 16 Sep 2022
Created by - Eng Anold Mwinuka
KUANGALIA MAJINA AU KUPATA PDF YA MAJINA BONYEZA LINK HII HAPA CHINIBONYEZA KUPATA PDF YA MAJINA .WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kesho inatarajia kutangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri masomo ya sayansi.Waziri wa wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda alisema Jumapili jijini Dodoma kuwa katika kupata ufadhili huo hakutakuwa na upendeleo au ushawishi.“Septemba 27, 2022 (kesho) tunafungua rasmi tangazo la wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na kufanya mitihani kupitia Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) na kufaulu vizuri kwenye masomo ya sayansi ambao wanastahili kupewa Samia Scholarship, baada ya hapo majina yao yatatangazwa.” alisema Profesa Mkenda wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kufungua tangazo la Samia Scholarship.Aliongeza “Kwa wanafunzi ambao wamefanya vizuri sana katika masomo ya sayansi ambao wanastahili kupewa Samia Scholarship tunayo majina 640, tutangaza.”Profesa Mkenda alisema moja ya kigezo cha kupata ufadhili ni mwanafunzi kudahiliwa kwenye vyuo vikuu vya ndani ya nchi kusoma masomo ya sayansi, uhandisi na elimu tiba.Alisema kwa mwanafunzi ambaye atadahiliwa kwenye masomo ambayo si ya sayansi hawatanufaika na ufadhili huo hata kama jina lipo kwenye orodha ya walio na sifa ya kupata.“Unaweza ukawa umefaulu masomo ya sayansi na ukawemo kwenye orodha tutakayoitangaza lakini umeenda kwenda kusoma nje ya nchi kwa mtu anakusomesha basi utakosa fursa hii”alisema profesa Mkenda na kuongeza;“Pia unaweza jina lako likawepo na umedahiliwa katika chuo kikuu hapa Tanzania nje ya masomo ya sayansi, uhandisi na elimu tiba utakosa fursa hiyo”Aliongeza “Kikubwa mwanafunzi awe umefaulu masomo ya sayansi, hakuna lobbying matokeo ya nani kafauli vizuri yako wazi na kila mtu anaweza kuona, kwa hiyo hakuna cha kusema mtoto wa Mkenda au Silvia, hapana ulichofaulu ndio kitakufanya uchaguliwe.”Profesa Mkenda alisema Wizara imetanga Sh bilioni tatu ambazo zinaweza kuwatosha wanafuzi 640 kwa mwaka wa kwanza.“Tutakapoingia mwaka wa pili inaweza kuwa shilingi bilioni sita na zitaendelea kuongezeka kulingana na uhitaji, hapa tutazindua tangazo lakini uzinduzi wa hii scholarship yenyewe tumemuomba Rais akutane na hao watakaokuwa wamekamilisha vigezo vyote.”alisema.
More detailsPublished - Wed, 28 Sep 2022
Created by - Eng Anold Mwinuka
WAALIMU NA WAFANYAKAZI WOTE WA DR MLELWA TUNAPENDWA KUWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAMEMALIZA DARASA LA SABA MASOMO YA PRE FORM 1Kwa mwaka wa masomo 2023, wanafunzi wanatakiwa kujiunga na masomo ya sekondari ya form 1, hivyo sisi kama Dr mlelwa tuichukua hii dhamana ya kuwaandaa hawa wanafunzi ili kwenda kukabiliana na mazingira mapya lakini pia jinsi ya kuweza kusoma vizuri na kufaulu.Waalimu wetu wamejipanga na tuna uzoefu wa kufundisha tangu 2022, hivyo mwanao au wewe mwanafunzi ukisoma kupitia jukwaa hili utakuwa umeingia kwenye list ya wanafunzi bora Tz, wanafunzi wote tunao wafundisha hawajawai kufeli iwe form 4 au form 6.chagua sasa kusoma nasi kwa matokeo bora na uelewa sahihi.BONYEZA HAPA KUTEMBELEA WEBSITE YETU
More detailsPublished - Tue, 04 Oct 2022
Created by - Dr. Mlelwa
Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba yaani Primary school leaving examination (PSLE) mwaka 2022Bonyeza hapa ili uone matokeo hayoMatokeo ya darasa la saba 2022
More detailsPublished - Thu, 01 Dec 2022
Created by - Eng Anold Mwinuka
Tazama matokeo ya form 2 necta moja kwa moja kupitia link hii hapa chini https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htmGusa hapa kutazama matokeo ya necta form 2
More detailsPublished - Sat, 07 Jan 2023
Created by - Eng Anold Mwinuka
Kwa sababu za kitaasisi tumeamua kubadili jina la kampuni yetu kutoka Dr Mlelwa Lectures to Study Palm. Hivyo kwa sasa ukiona jina Study Palm ujue bado ni kampuni ile ile ya Dr Mlelwa Lectures.Huduma zetu na ubora wetu umezidi kuongezeka pamoja na upatikanaji wa msaada wa karibu wakati unapopatwa na changamoto yoyote katika mifumo yetu.Pia tumekamilisha utengenezaji wa application yetu tunayotarajia itakuwa Playstore hivi karibuni hivyo usiache kwenda na kuipakua.
More detailsPublished - Mon, 02 Dec 2024
Mon, 02 Dec 2024
Sat, 07 Jan 2023
Thu, 01 Dec 2022
Write a public review