Published - Mon, 02 Dec 2024

We have change our name

We have change our name

Kwa sababu za kitaasisi tumeamua kubadili jina la kampuni yetu kutoka Dr Mlelwa Lectures to Study Palm. Hivyo kwa sasa ukiona jina Study Palm ujue bado ni kampuni ile ile ya Dr Mlelwa Lectures.

Huduma zetu na ubora wetu umezidi kuongezeka pamoja na upatikanaji wa msaada wa karibu wakati unapopatwa na changamoto yoyote katika mifumo yetu.

Pia tumekamilisha utengenezaji wa application yetu tunayotarajia itakuwa Playstore hivi karibuni hivyo usiache kwenda na kuipakua.

Created by

Eng Anold Mwinuka

Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha MUST (Mbeya University Of Science And Technology), Ninasoma kozi ya Computer Engineering ngazi ya Degree. Mimi pia ni mbunifu wa mifumo ya kitehema kama vile www.drmlelwa.co.tz | www.webusiness.co.tz | www.sokoni.shop pia ipo mifumo ya hardware kama vile we-receiver, we-mixer na alama ya damu automation system na yote hii inafanya kazi na kutumiwa na watu. MOSTLY I LOVE GOD AND THE GOSPLE OF GOD

Safari yangu ya kielimu ilianza katika shule ya Msingi ya Ikulu iliyopo Ilomba jijini Mbeya, nilipomaliza nikaingia secondary katika shule ya Sekondari Pandahill Sec(2022 -2016), nikamalizia elimu yangu ya sekondari shule ya Jifunzeni sec iliyopo Hitua Mbeya(2017).

 2018 nikaokoka(kanisa la KIKOSI KAZI CHA INJILI) na baada ya hapo nikaenda Morogoro na huu ndio ulikuwa mwanzo wa mabadiloko katika maisha yangu baada tu ya kuokoka nikapata akili kubwa mno sijawai ipata. 2020 nikiwa Kwiro Boys - PCM nikamaliza.

2020 Tukaanza kufundisha mimi na kaka yangu kupitia youtube BURE kabisa kama tulivyofundishwa ibadani. 2021 tulianza kuwatoza watu gharama kidogo ili tusilemewe.

Pia 2020 december nikaingia Must nikakutana watu wengine ujuzi nilionao ukaongezeka zaidi na 2022 nikaja na wazo hili la kutatua changamoto za kupata na kuuza ujuzi kwa njia ya Mtandao. 

Dr Mlelwa  litakuwa suruhisho la changamoto nyingi sana Tanzania kama watu watataka kuvuka katika changam,oto hizo.

Mungu awabariki wote

View profile

Comments (0)